VIDEO: Waziri Mpina Uso kwa Uso na waziri wa Misri, Hiki hapa alichomwambia.


Waziri wa mifugo na uvuvi Mh. Luhaga Mpina amekutana na waziri wa misri Prof. Ezzaldin Aboussteit, Mhe. Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE..........