Yanga SC waipiga mkwara Simba SC


Kuelekea kwa mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Ofisa Habari wa Yanga SC, Dismas Ten amewataka Simba SC kutoleta kisingizio chochote cha kusogeza mbele mechi.

Dismas Ten ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram ameandika hivi,