.

2/06/2019

Video: Tundu Lissu katika mdahalo nchini Marekani


Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo Washington D.C. Marekani.

 Akiwa nchini humo Lissu ameshiriki mdahalo 'Public Lecturing' katika mada inayohusu changamoto za kidemokrasia nchini Tanzania (The Democratic Challenge in Tanzania). Mdahalo huo umeongozwa na Prof.Jennifer Cooke, mkuu wa Taasisi ya stadi za Afrika katika cha Chuo Kikuu cha George Washington.