Zari azidisha usiri kwenye penzi lake jipya


Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameweka wazi kile kinachoendelea kwa sasa kwenye maisha yake ya kimapenzi.

Hii ni baada ya kuuliza na shabiki wake kwenye mtandao kwanini haweki wazi kama yupo kwenye
mahusino kwani anaonekana kuwa mnyonge.

Zari ameeleza kuwa shabiki huyo ndiye anaona hivyo kutokana yeye ndiye ameamua kumuonyesha
hivyo.

Katika mahusiano yao Zari na Diamond walijaliwa kupata watoto wawili ambao ni Tiffah na Nillan.
Zari ndiye aliyetangaza kuvunja mahusiano na Diamond kwa kile alichodai muimbaji huyo alikuwa akimvunjia utu wake kwenye mitandao.
Mpya zaidi Nzee zaidi