BREAKING: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi, Apangiwa kazi nyingine


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Mhandisi Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), akichukua nafasi ya Richard Mayongela ambaye uteuzi wake umetenguliwa, na atapangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi, Julius alikuwa Meneja wa TANROADS, Dar Es Salaam.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items