Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema kuwa akienda kwenye mikutano ya hadhara hata tumia salamu kama “Assalaam Alykum” or “Bwana Yesu Asifiwe” nisije nikakiletea Matatizo chama cha watu CCM.
Bashe kupitia ukurasa wake wa Twitter leo amesema kuwa hatatumia salamu hizo ili asije akaonekana anabagua wasio na dini.
Kuanzia leo nikienda kwenye mikutano ya hadhara situmii salaam kama “Assalaam Alykum” or “Bwana Yesu Asifiwe” nisije nikakiletea Matatizo chama chatu CCM nakuonekana kinabagua wasiokua na Dini. “Tafakuri yangu Tahadhari kabla ya Mauti “
