Kagere amfunika Aiyee, Kocha Prisons ammwaga Aussems


Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara mwezi February.

Kagere ameshinda taji hilo kwa kuwapiku wachezaji wengine kama Salim Aiyee (Mwadui FC) Salum Kimenya (Tanzania Prisons).

Wwakati huo huo Kocha wa Tanzania Prisons, Mohammed Richardamechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi huo akiwabwaga makocha wengine kama Patrick Aussems wa Simba na Ally Bizimungu wa Mwadui.