3/15/2019

Kumekucha Klabu bingwa Ulaya, makundi yapangwa Barcelona uso kwa uso Man U


Leo Machi 15 droo ya mashindano ya klabu bingwa Ulaya imepangwa kuelekea hatua ya robo fainali ambapo Mashetani wakundu Manchester United watavaana na FC Barcelona.AFCAjax Vs Juventus FC

Liverpool FC  Vs  FC Porto

Tottenham Hotspur Vs Manchester City

Manchester United Vs   FC Barcelona