Picha: Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Balozi mpya Tanzania nchini Zambia


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amkutana na kufanya mazungumzo na Balozi mpya mteule wa Tanzania nchini Zambia, Balozi Hassan Simba Yahya ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.


Balozi Simba alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo la kuaga tayari kwenda kuanza kazi kwenye kituo chake kipya.