VIDEO: Cheki Mbowe alivyomchambua Prof. Lipumba ''namuheshimu sana"

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,  Freeman Mbowe amesema hawezi kumjibu Prof. Ibrahim Lipumba kwani ni mtu aliyefanya nae kazi kwa muda mrefu na anamuheshimu, pia amewaomba wanachama wa CUF upande wa Maalim Seif kuwa watulivu kwa hiki kinachoendelea kwenye chama chao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE