Katika jitihada za kuwasaidia wanawake katika Manispaa ya Ubungo, Mstahiki meya wa Ubungo, Boniface Jacobo, amekabidhi vyerehani 10 sawa na viwanda 2 vya kutengeneza nguo kwa kushirikiana na baadhi ya wadau wa maendeleo katika Manispaa hiyo.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE........
