Hakuna raha kwenye mchezo wa soka kama kupata ushindi tena na kufanikiwa kutinga hatua nzuri ya michuano mikubwa kama ilivyofanya Taifa Stars kwa kuifunga Uganda mabao 3-0 na kutinga michuano ya AFCON mwaka huu nchini Misri. Bada ya kufuzu kwenye michuano hiyo wachezaji wa Stars wamesherehekeza kwa kucheza masebene na kuruka ruka kwa furaha kubwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
