VIDEO: Tazama Magoli ya Taifa Stars vs Uganda (3-0)
byMuungwana Blog 1-
0
Hatimaye Taifa Stars imefanikiwa kufuzu katika michuano ya AFCON mwaka huu nchini Misri baada ya kuifunga Uganda mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE