3/15/2019

VIDEO: PART 1: Maisha ya Mbowe Gerezani ''Nimekutana na watu wa kesi ya ugaidi''


Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe amefunguka kuhusiana na maisha yake akiwa rumande kwa siku 104 ambapo amesema hajutii kuwa gerezani kwa siku zote hizo kwani amekutana na watuhumiwa wa kesi ya ugaidi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE