Kikundi Ngoma cha Walimu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kimeburudisha kwa Kula moto katika sherehe za kuwapongeza walimu wote wa shule za sekondari na msingi kwa kufanya vizuri mitihani iliyopita ya darasa la saba na kidato cha nne.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAHU KUSUBSCRIBE....