ISOME HAPA: Ripoti yote ya CAG kwa mwaka 2017/18


Mapema leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa ripoti yake ya mwaka 2017/2018. Tovuti ya GAG tayari imechapisha ripoti hiyo.

BONYEZA HAPA >>RIPOTI YA CAG MWAKA 2017/2018