Polisi wathibitisha watu wawili kufariki kwenye ajali Kagera


Kamanda wa Polisi Kagera, Revocatus Malimi amethibitisha watu wawili wamefariki na wengine 35 kujeruhiwa katika ajali ya gari la mafundi wanaotekeleza mradi wa kuzalisha umeme megawati 80 kutokana na maji ya mto Kagera eneo la Rusumo wilayani Kagera.



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items