Serikali yakabidhi ndege yake ya Fokker 50 kwa ATCL.


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amemkabidhi Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. LeonardChamriho ndege ya serikali aina ya Fokker 50 ili aikabidhi kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa ajili ya kubeba abiria wa kawaida  kama ilivyoagizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufulikwenye hafla fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JuliusNyerere leo Aprili 1, 2019.








Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items