Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika leo 01 Aprili, 2019.