Tanzania uso kwa uso na Senegal ya Sadio Mane AFCON2019

 Tanzania yaangukia Kundi C ikiwa pamoja na mataifa ya Senegal, Algeria na Kenya katika Fainali za Kombe la Mataifa Afrika AFCON2019 zitakazofanyika mwezi Juni mwaka huu nchini Misri.


Makundi yote ni kama ifuatavyo hapa chini;

Mpya zaidi Nzee zaidi