VIDEO: Asasi zaidi ya 60 'ZAUNGURUMA', Zamtaka Msajili asivitishe vyama


Asasi hizo zimesema kuwa, Wameshuhudia ukiukwaji wa haki zinazolindwan kisheria, na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977,  Sheria zingine za Nchi, Mikataba ya kikanda, Kimataifa, ambayo imetiwa saini na Serikali hii kuwa sehemu ya sheria za nchi.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE......


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items