VIDEO: Haji Manara amnanga Lionel Messi na kuwapa dongo mashabiki wa Yanga


Msemaji wa Timu ya Simba SC, Haji Manara, Amesema kuwa mashabiki ndio mtaji mkubwa wa klabu hiyo hivyo wanatakiwa 'KUPETIWA PETIWA' kama vile Lionel Messi anavyofanyiwa na Timu yake ya FC Barcelona kitendo kilichomfanya Messi kutaka kumchagua mfugaji wa dagaa kutoka Argentina kuwa kocha wa Barcelona. Pia kawapa dongo mashabiki wa Yanga kwa kutokujaza uwanja wakati wa mchezo dhidi ya Simba.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE....


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items