VIDEO: Hizi ndizo hesabu za Manara juu ya Simba SC na Yanga SC ubingwa wa Afrika


Haji Manara, ambaye ni msemaji wa timu ya Simba SC, amesema kuwa sio kweli kuwa Simba SC ndio timu pekee kufika hatua ya mtoano katika mbio za ligi ya mabingwa Afrika kwani hata Yanga SC nao waliingia katika hatu hiyo lakini kwa hivi sasa Simba SC inastahili pongezi kufikia hatua hiyo kutokana na timu ilizocheza nazo.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.....