Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameongea na waandishi wa habari ofisini kwake Jumanne hii na kutangaza kuandaa kampeni mpya ya kuwasaidia Wajane ambao itafanyika April 4 ya mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kusikiliza matatizo mbali mbali ambayo wanakumbana nayo kwenye familia.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
