VIDEO: Kikongwe wa miaka 80 aliyenaswa na Uhamiaji akielekea Ulaya arudishwa kwao


Idara ya Uhamiaji Mkoani Dar es salaam imefunguka kuhusiana na wahamiaji 38 waliokamatwa wakiwemo watoto wajawazito na Kikongwe mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 80 ambaye ametokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akielekea katika kisiwa cha Mayote wamerudishwa nchini kwao huku wengine wakichukuliwa hatua zaidi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items