VIDEO: Maduka 82 Dar ya kubadilishia fedha hatarini/ Gavana BOT afichua mazito
byMuungwana Blog 1-
0
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florence Luoga amesema jumla maduka 82 kati ya 87katika Mkoa wa Dar es Salaam yamekutwa na viashiria vya utakatishaji wa fedha kwa kubadilisha fedha za kigeni kinyume na taratibu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE