VIDEO: Kocha Liogope afunguka mechi ya Simba na TP Mazembe/ Zana Coulibaly alikuwa mwiba



Kocha ambaye pia ni mchambuzi wa michezo Kassim Liogope amefunguka kuhusu mechi ya Jumamosi hii ya robo fainali ya kwanza ya klabu bingwa Afrika kati ya Simba na TP Mazembe ya DR Congo ambapo walitoka sare ya bila kufungana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE