F VIDEO: MAGOLI YOTE LEO : ALLIANCE FC Vs SIMBA SC | Muungwana BLOG

VIDEO: MAGOLI YOTE LEO : ALLIANCE FC Vs SIMBA SC


Klabu ya Simba SC leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magori mawili kwa bila dhidi ya Alliance katika kinyanganyiro cha Ligi Kuu Tanzania Bara na kujiweka vizuri katika mbio za ubingwa huo.