VIDEO: Msako mkali, wahamiaji 31 wanaswa / tahadhari yatolewa


Idara ya Uhamiaji Mkoani Dar es salaam imefanya msako na upekuzi dhidi ya wahamiaji haramu katika maeneo ya Jangwani, Mchikichini na Mtaa wa Mafuriko Ilala jijini Dar es salaam na kufanikiwa kuwakamata jumla ya watuhumiwa 31.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items