VIDEO: Mbunge CUF aibuka na kutoa msimamo wake mbele ya wananchi
byMuungwana Blog 2-
0
Mbunge wa viti Maalum (CUF) Mkoani Tanga, Sonia Magogo amewataka wananchi mkoani humo kutoyumbishwa na wanasiasa wanao wadanganywa kwa kuwapa kitu kidogo ili wabadilishe misimamo yao ambapo pia amewatupia dongo wanaoirushia mawe CUF.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE