VIDEO: Mwendokasi yaua, gari lakatika vipande 2


Gari ya mwendokasi yenye namba za usajili T 873 DGV limedaiwa kusababisha ajali kutokana na mwendo mkali katika eneo la mataa ya Magomeni Mapipa ambapo limeligonga gari aina ya Toyota March lenye namba za usajili T 968 DNZ na dereva wa gari hilo kudaiwa kufariki papo hapo kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE