VIDEO: Nitamuomba Rais Magufuli anipe kipaumbele - Mrithi wa Nassari


Baada ya kupita bila kupingwa Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki Dkt John Palangyo amelezea vipau mbele atakavyoanza navyo ikiwemo kuboresha miundombinu kwa kumuomba raisi Magufuli ampe kipau mbele kwa kuwa wamechelewa kimaendeleo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE