F VIDEO: Pacha wake Wastara apatikana Bongo Movie | Muungwana BLOG

VIDEO: Pacha wake Wastara apatikana Bongo Movie


Msanii wa Bongo Movie kutoka Mkoani Arusha Mishy Mziray ambaye anafanana na Muigizaji wa Bongo Movie Wastara kuanzia kuongea mpaka kuigiza amesema kuwa anatamani kufanya kazi ya Riyama Ally ambaye pia ni muigizaji huku akizungumzia changamoto zinazokumba tasnia ya Filamu Nchini Tanzania.

Akizungumza na Muungwana Tv katika Exclusive usiku wa jana wakati wa uzinduzi wa Filamu yao mpya Ijulikanayo kama WOMAN Mishy kwa nafasi kubwa amecheza kama muigizaji mkuu kwa kuwa nafasi hiyo anaimudu vizuri

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE