4/17/2019

VIDEO:Pigo jingine CHADEMA, kiongozi mwingine atimkia CCM


Diwani wa Kata ya Chango'mbe Manispaa yaTemeke kwa tiketi ya Chadema, Ndalichako, leo Aprili 17, ametangaza kujiuzulu udiwani na nafasi Zake zote katika chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE