Picha: Rais Magufuli atoa heshima mwisho kwa Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Athuman Hassan Ngwilizi katika Hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Mei 22,2019 ,Marehemu alifariki dunia hospitalini hapo Mei 20,2019.