Picha: Wabunge wapewa Semina ya mapitio ya Bajeti Kuu ya Serikali

Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge akichania jambo katika semina ya mapitio ya Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/2019 iliyofanyika  kwenye  Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti wakifuatila jambo katika semina ya mapitio ya Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/2019 iliyotolewa na Ndg. Cliff Muga kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma