Picha: Waziri Mwakyembe akutana na Watumishi wa Wizara yake

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakazi wa wizara yake katika kikao chake na wafanyakazi hao kilichofanyika leo Jijini Dodoma