Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)


Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kutimua vumbi tena leo ambapo timu nane zitashuka dimbani kusaka pointi tatu. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).