Nyumbani RCO wa Ilala afariki kwa ajali ya gari byMuungwana Blog 3 -5/07/2019 09:00:00 PM 0 RCO wa Ilala Jijini Dar SSP Mbise taarifa zinasema kuwa amefariki dunia muda huu wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kwa ajali ya Gari akiwa safarini. Taarifa zinasema kuwa RCO Mbise alikuwa anaelekea nyumbani kwao kwa mapumziko ya kikazi. Facebook Twitter