Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari wakiwa na pikipiki alfajiri ya kuamkia leo maeneo ya barabara ya kuelekea Njiro na gari hiyo kutokomea kusikojulikana.
Akizungumza majeruhi wa ajali hiyo ambaye ni dereva wa pikipiki Ally Saidi amesema kuwa alikuwa anampeleka marehemu club lakini walipofika eneo hilo waligongwa na kuanzia hapo hakumbuki kilichoendelea mpaka kujikuta yupo hospital
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE