Loading...

5/09/2019

VIDEO: Askofu Mkuu amchana "LIVE" Makonda msibani kwa Mengi


Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo, ameiunga mkono kauli ya Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kuhusu kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aliyoitoa siku mbili zilizopita katika viwanja vya Karimjee wakati wa kuuaga mwili wa Dkt Reginald Mengi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Loading...