VIDEO: Kocha wa Simba ajitetea kipigo cha Kagera Sugar, "Uchovu na Ramadhan"


Kocha wa Simba Patrick Aussems amefunguka sababu iliyoifanya timu yake kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 kutoka kwa Kagera Sugar. Kwa matokeo hayo Simba imepoteza mechi zote mbili za ligi kuu walizocheza dhidi ya Simba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE