VIDEO: Mashabiki Simba wamlaumu kocha kipigo na Sevilla/ Wajipa moyo na ubingwa


Masabiki wa Simba SC wameonekana kuumizwa na mabadiliko ya kocha Patrick Aussems ambayo aliyafanya katika kipindi cha pili wakati wa mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Sevilla ambayo yalipelekea timu hoiyo kufiungwa mabao 4-5.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE