VIDEO: RC MNYETI: Acheni watu wanywe pombe, Shida yenu nini TRA?


Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti amewaambia wafanyabiashara na wenye viwanda mkoani humo wafanye biashara zao bila wasiwasi kwani serikali ipo nyuma yao ilimradi tu walipe kodi, ameyasema hayo alipokitembelea kiwanda cha Pombe kali  Mati Super Brand Ltd Babati mjini ambacho kilisitisha uzalishaji kufuatia agizo la Kamishna wa kodi nchini.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE.....