VIDEO: Tff yapiga marufuku matamasha ya muziki



Shirikisho la soka Tanzania Tff limetenga jumla ya dola za kimarekani milioni moja kwa ajili ya kurekebisha viwanja kumi vya soka nchini vikiwemo kiwanja cha  Nangwanda sijaona uliopo Mjini Mtwara.

Akizungumza na wanahabari mjini Mtwara Raisi wa Tff Wallace Karia amesema kati ya viwanja hivyo kumi ,kila uwanja umetengewa kiasi cha fedha dola laki moja.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi