Kutokana na Mafuriko Barabara ya Jangwani yafungwa


Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani imefungwa kwa muda kufuatia maji kujaa katika Mto Msimbazi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, na hivyo kuhatarisha usalama wa wananchi na mali zao. Mabasi ya Mwendokasi yanayotokea Kimara yataishia Magomeni.

Chini ni taarifa Kutoka Mamlaka ya Mabasi Yaendayo Haraka -DART kuhusu Kutokea Mafuriko Katika Eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Mpya zaidi Nzee zaidi