Wakili Maneno Mbunda ambaye alikuwa Mfanyakazi wa Arusha National Park,taarifa za kutoweka zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii na 2/5/2019 ndipo mdogo wake kwa jina la Upendo Mbunda alitoa taarifa za kutoweka kwa kaka yake kwenye ofisi za Mtandao(THDRC)kwaajiri ya usaidizi wao.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE......