Loading...

5/18/2019

VIDEO: Vifaa vya Hospitali kukaguliwa, wakala wa vipimo waamua


Wakala wa Vipimo Mkoani Manyara wamekuja na mpango mpya 2019 wa kukagua Vipimo vyote vinavyotumika katika Zahanati,Vituo vya a
Afya  na Hospitali za Wilaya na Mkoa ili kuhakikisha vinakuwa na ubora unaokubalika.

Akitoa elimu hiyo  katika Hospitali ya Mji  wa Babati, Wakala wa vipimo mkoa wa Manyara Leo Patrick na Edward Hizza wamesema  kwa sasa wakala wa vipimo  katika sheria mpya ya mwaka 2019  inawataka kukagua vipimo vyote vinavyotumika katika huduma za Afya ili kunusuru wagonjwa kupatiwa madawa tofauti na uzito wao hali inayopeleka kuzidiwa na dawa hizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Loading...