Mchungaji Commando Mashimo, amefunguka kuwa video ya ngono ambayo imesambaa mitandaoni ikimuonyesha Askofu Gwajima ni yakutengeneza kwa lengo la kumchafua. Mchungaji huyo ameweka wazi watu ambao wamehusika na sio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE