VIDEO: Zahera aangua kilio hadharani, amtaja aliyemleta Yanga

 
Kocha wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amejikuta akiangua kilio mbele ya viongozi wa timu yake wakati wa hafla ya iftar waliyoifanya katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Datr es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE